Saturday, April 25, 2015

WBC

WBC wazindua ukanda utakaopiganiwa ktk pigano kubwa kwenye historia ya ndondi kati ya bingwa wa dunia froyid mayweather dhidi ya many paquio.Ukanda huo wa kijan kibich una thamani ya dola million moja

Froyid mayweather

Bondia Wa marekani ambaye atazichapa na many paquiao Wa ufilipino tarehe 2 mei amesema yeye no bora kuliko Mohammed Ali

Coach wa chelsea Jose morinho kumjib coach mwenzie wa asernal arsen wenger baada ya wenger kuhoj mbinu inayotumiwa na chelsea kulinda lango lao

Wenger alimchokoza kocha Wa chelsea akisema kwamba ni rahis kulinda lango,swala lililomshinikiza mourinho kunjib akisema kua iwapo kurinda lango ni rahis ni kwanin arsenal walibanduliwa kwenye michuano ya kufuzu robo fainali walipo lazwa 3-1 na Monaco

Timu hizo mbili zitakutana ktk mechi ya ligi ya uingeleza itakayo chezwa kwenye uwanja wa Emirates
Siku ya jumapili

Friday, April 24, 2015

Droo yakamilika

Hatimaye droo ya nusu fainali uefa champions league imepangwa na ratiba kamili ya mechi kutoka bayan Munich akiumana na Barcelona huku jeventus uso kwa uso na real Madrid fc