Wenger alimchokoza kocha Wa chelsea akisema kwamba ni rahis kulinda lango,swala lililomshinikiza mourinho kunjib akisema kua iwapo kurinda lango ni rahis ni kwanin arsenal walibanduliwa kwenye michuano ya kufuzu robo fainali walipo lazwa 3-1 na Monaco
Timu hizo mbili zitakutana ktk mechi ya ligi ya uingeleza itakayo chezwa kwenye uwanja wa Emirates
Siku ya jumapili
Hi noma
ReplyDelete